Kutoka kwenye album ya the Legend Michael Jackson Xscape inayotarajiwa kuingia sokoni tarehe 13 mwezi huu (May), single mpya imetoka wiki hii akiwa amemshirikisha Justin Timberlake.
Love Never Felt So Good ndio wimbo ambao umetoka wiki hii akiwa na Justin Timberlake usikilize hapa chini
Post a Comment