0
wiki moja baada ya ajali ajali fally ipupa



Asubuhi YA TAREHE 9 JAN 2014 Mwanamuziki Fally Ipupa amenusurika kifo baada ya gari lake aliyokuwa akiendesha aina ya  Bentley kupata ajali kwa kugongana na gari jingine huko Boulevard Barabara ya uhuru almaarufu kama 30 Juin huko Congo DRC.

Katika AJALI HIYO hakuna aliyepoteza maisha kwenye
Ajali hiyo ilimehusisha magari mawili ila abiria walijeruhiwa akiwamo mwanadada aliyekuwa ndani ya gari ya Fally na kukimbizwa hospitali ya Ngaliema Falvien. 

Awali habari zilitapaa kuwa Fally amekimbizwa hospitalini hapo na kufanya watu kadhaa kufurika lakini ikathibitishwa na mashuhuda kuwa Mwanamuziki huyo kipenzi cha wengi yu buheri wa afya isipokuwa majeraha aliyopata mkononi mwake ambao awali ulisadikiwa kuwa umevunjika.

Lakini baada ya ajali ni takribani wiki sasa fally amejitokeza hadharani na kusema kuwa kimwili hakupata madhara makubwa sana ila hofu na msongo wa mawazo wa ajali ile ndio uliomsumbua zaidi ya maumivu kidogo aliyoyapata. 

Na ametuma ujumbe kwenye ukurasa wake wa facebook akisema “Nawashukuru kwa meseji zenu na kuniombea nipone haraka, ni mapenzi makubwa ambayo yamenifanya nipone haraka” “…Kwa sasa naendelea vizuri na Daktari wangu amenipa mapumziko mafupi ila nitarejea kwa kishindo” alosema Fally

“…Kwa sasa naendelea vizuri na Daktari wangu amenipa mapumziko mafupi ila nitarejea kwa kishindo” alosema Fally

Fally alipata ajali akitokea kwenye matembezi huko Kinshasa DRC katika barabara ya uhuru, ajali iliyohusisha magari mawili na gari la pili ndio lilikuwa na majeruhi zaidi ukilinganisha
na la mwanamuziki huyo. 

Sasa kimwana aliyepata nae ajali hajaeleza alikuwa ni nani wakewala picha zake hazijapatikana 
gari la afally alilopata nalo ajali


mwanamke albaye alikuwa gari lingine la pili baada ya kugongana na gari la faly ipupa akiwa kenye gari la wasamarua wema kukimbizwa hospital

gari lililogongana na gari ya fally ipupa


MUNGU KAMA HAJAPANGA UFE HAUFI KWA HIARI YA BINADAM DUUH  



Post a Comment

AddThis

 
Top