Home » » Unlabelled
» SIKUTEGEMEA MSANII MKUBWA KAMA HARD MAD TENA MKONGWE ANAWEZA KUIMBA YAHAYA REMIX SASA NDIYO TUSEMA KAISHIWA MASHAIRI AU NDIYO ANATUMIA FURSA?
Msanii Hard Mad ameachia wimbo Aliouita ‘Naishi Ghetto’ akiwa amejivika husika ya Yahaya aliyeibwa na Lady Jay Dee. Wimbo huu umetengenezwa na mdundo ragga ukiwa na Melody ya komando ya Jide na wimbo umetayarishwa na producer wa studio za Over Classic zilizoko Jijini Mwanza .
Post a Comment