0
Neema Jua 
Miaka kadhaa nyuma nilikuwa sijajiunga na facebook na wala nilikuwa sijui kama naweza kuja kuwa mtu ambaye namaliza charge kwa kuwa karibu na ndugu zangu katika facebook
Lakini Gozilla alinishauri kwakusema jaribu ni nzuri uta enjoy,tena alinisistiza jaribu it is nice we creat account
Nika create account na mpakaleo na enjoy na ndugu zangu wa facebook ambao wapo karibu na mimi kila wakati 
Respect to you Godzilla.

Post a Comment

AddThis

 
Top