0


Wachezaji wa Yanga, Simon Msuva (kushoto), Nadir Haroub (Canavaro), wakiwania mpira katika lango la Ruvu Shooting, wakati wa mchezo wa Ligi kuu ya soka Tanzania bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Yanga imeshinda 1-0. 

Mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu akichuana na beki wa Ruvu Shooting, Shaban Suzan.



Golikipa wa Ruvu Shooting, Abdul Seif akiokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake.


Furaha ya ushindi......Wachezaji wa Yanga, wakishangilia balo lililofungwa na Mrisho Ngasa 





Kushangilia kama kawa yanga bwana



Simon Msuva akichuana na beki wa Ruvu Shooting.

Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa akimtoka beki wa Ruvu Shooting, Stephano Mwasika.



 Niyonzima nae kama kawa
AGAAAAH,,, yanga wee

HII NDIYO JANGWANI BWANA  

Post a Comment

AddThis

 
Top