0

                                                                 Tshala muana



Tshala muana ameyasema hayo hivi karibuni wakati akiadhimisha miaka 35 akiwa ndani ya muziki

Amesema kuwa mnenguaji haimaanishi uwe muhuni usijiheshimu au ufanye vitu ambavyo kijamii havileti picha nzuri

Kumbuka pia tshala muana ana album mpya iliyotoka tarhe 26 august 2013 ikiwa ni ya mutuashi inakwenda kwa jina la 100 percent mutuashi

Post a Comment

AddThis

 
Top