0



Msanii Mkali  toka Nigeria J martins usiku wa jana alimtunuku Msanii Ommy Dimpoz kwa kumzawadia  Cheni yenye thamani ya usd 10,000,Ikiwa Msanii Huyo alikuwa Akisherehekea Siku yake ya kuzaliwa na pia ilikuwa ikifanyika uzinduzi wa Video ya bila kukunja Goti! ambapo Mkali J Martis Kutoka nigeria aliyekuwa akiendesha Shughuli Hiyo nzima kama Msema Chochote Pale kwa Stage 

Check picha jinsi ilivyokuwa

 Jay matins kabla hajamkabidhi Ommy Dimpoz mkufu                                  


Ommy dimpoz,Ay na Fa

Ommy na mkufu wake aliyozawadiwa na Jmatins





Post a Comment

AddThis

 
Top