0
Kutoka Lagos, Nigeria yule Beats by Dre official ambassador ana headline nyingine, baada ya kutoa zawadi ya zile headphones kali kwa Mr. President kumbe ana mzigo fulani wa deni  ambao mdeni anasema eti D’Banj ni kama amejisahaulisha deni hilo.

Hii sio noma ya kwanza kukutana nayo, unaambiwa toka jamaa arudi home ni kama kuna wadeni kibao ambao wamekuwa wakimtafuta ili wamalizane naye, ipo kampuni ya masuala ya IT ambayo pia ilisema kwamba ‘the Coco Master’ ni mdeni wao.
Mfanyabiashara Henry Ojogho ni mdeni mpya, anamdai jamaa zaidi ya Naira mil. 60, tayari amefungua kesi Mahakamani na barua ya Mahakama kwa D’Banj iko njiani kumfikia muda wowote.

Post a Comment

AddThis

 
Top