0
Radamel Falcao: ‘Lengo langu ni kuendelea kubaki katika klabu hii, ninaongea sana na kocha na ninaelewa falsafa yake. Nimekuwa na majeruhi lakini sasa nakaribia fiti 100%. Nataka kuendelea kuwa hapa lakini itabidi niangalie hali halisi ilivyo na upatikanaji wa nafasi ya kucheza kabla ya kufanya maamuzi ya moja kwa moja juu ya hatma yangu.

Post a Comment

AddThis

 
Top