0



Wasanii wa Kiafrica wametunga Wimbo ili kuhamasisha Umma kutokana na Maradhi ya EBOLA,
« Ebola, ce n’est pas bon, allez voir le médecin ! » / EBOLA NI UGONJWA MBAYA SANA, NENDENI KUMUONA DAKTARI.
Jiwekeni katika hali ya Usafi, Epuka kupeana Mikono, Jihadharini na Tabia ya kuwagusa wagonjwa Wanao athirika na Ugonjwa huo , Wala Msiwaguse pia Ndugu zetu walio Fariki kutokana na EBOLA.
Wasanii walio changia ni hawa :

Salif Keita , Amadou na Mariam, Kutoka Inchi ya MALI, MORY KANTE wa GUINEA, TIKEN JAH FAKOLY wa COTE D’IVOIRE, BARBARA KANAM wa CONGO DRC …

Watu zaidi ya 5000 wamesha Fariki kutokana na Virusi vya Ebola.

Post a Comment

AddThis

 
Top