0




 » NE TOUCHE PAS A MA CONSTITUTION  » / KATIBA YA INCHI IACHE JINSI ILIVYO
KOFFI OLOMIDE, kaonyesha Ushupavu na Ujasiri wake dhidi ya Viongozi Walio na nia ya kukaa madarakani kinyume na pendekezo la Katiba ya Inchi.
Wimbo huo wa KOFFI OLOMIDE wawatia hofu kubwa Vingozi wa SEREKALI YA CONGO.
KOFFI OLOMIDE kasema :
Baboma nga mpo na CONGO / MTANIUWA KWA AJILI YA CONGO
Bolingo ya motema CONGO / PENZI LA MOYONI MWANGU CONGO
Botika ngai / NIACHENI MIE JAMANI
Bo comprendre nga bino bana CONGOLAIS / NAOMBA MNIELEWE NYIE WATOTO WA CONGO
Nayebisa CONGO que je l’aime / NAITAMKIA CONGO YA KWAMBA NAIPENDA
*** MOSALA ELEKA MALOBA NA EBELE *** / TUCHAPE KAZI ZAIDI KULIKONI MANENO
Ata tozo kosembela ,Toyeba que CONGO ebonga kaka na misala mpe na effort ya Ba CONGOLAIS / HATA KAMA TUKIJIHIMIZA KWENYE MAOMBI, FAHAMUNI YAKWAMBA MAENDELEO YA CONGO YATOKANA NA KAZI, KADHALIKA NA JITIHADA ZA WA KONGOMANI
Miracles ezalaka tee / HAKUNAGA NA MIUJIZA !!!
Bato oyo baza pembeni ya Mikonzi mpe pembeni ya Mokonzi / KWA NYIE AMBAO MPO WATU WA KARIBU NA VIONGOZI, NA WALE WAPAMBE WA KIONGOZI
Batikaka kopesa ba conseils mpo na intérêts ya Poste na bango / ACHENI KUTOA USHAURI KWA MADHUMUNI YA KUJINUUFAISHA WENYEWE
Bapesaka ba conseils mpo na Intérêts ya vie ya Ba CONGOLAIS mpo CONGO ebonga / TOENI USHAURI KWA MANUFAA YA UMMA, ndicho kitu pekee kitakacho leta maendeleo CONGO.
Ah Nga nalela CONGO / AH MIE NAILILIA CONGO
CONGO Mwana nguya / CONGO MTOTO ALIE NA NGUVU
CONGO mon bébé / CONGO MWANANGU
Bolingo ya CONGO ezali na suka tee / MAPENZI KWA CONGO HAYANA MWISHO
Moto te akoka kokakola yangu / HAKUNA YEYOTE ATAKAE ISHUSHIA HADHI
Moto te akoka kopekisa nga / SIMUONI MTU ATAKAE NIZUIA NISISEME
CONGO eza mpe oyo ya Babola / CONGO NI YA WATU MASKINI PIA
CONGO eza mpe ya Ba Députés / CONGO PIA NA YA WABUNGE
CONGO eza mpe ya Ba ministres / CONGO PIA NI YA MAWAZIRI
CONGO eza mpe ya bato oyo ba za na pouvoir / CONGO PIA NI YA WATU WALE WALIO MADARAKANI
Toboyi ba Abus du pouvoir / TUNAPINGA UTAWALA WA UNYANYASAJI
Biso se tolelaka, tolalaka nzala / SISI NDO WATU WAKILIO KILA SIKU , SISI NDO HUA TUNALALA NA NJAA
Esaka ndenge nini mpo yomoko ozalaka na Esengo ya kolia / KWANI HUA UNAJISIKIAJE UNAPOJIKUTA UKIWA MWENYEWE MWENYE FURAHA YA KUTUMIA CHAKULA KWA WINGI
Natango Bato ebele autours nayo bao lala nzala mpo bao kobela / WAKATI UKIZUNGUUKWA NA MAELFU YA WATU WALIO NA NJAA NA WENGINE NI WAGONJWA
Soki olingi CONGO , respecter la Démocratie / KAMA WAIPENDA CONGO, HESHIMU DEMOKRASIA
Respecter présidence / MPE HESHIMA RAIS WA INCHI
Respecter la constitution / HESHIMU KATIBA YA INCHI
Ba regles du je ba changeaka te / SHERIA YA GEMU HUA HAIBARIRISHWI WAKATI MCHEZO UMESHAANZA
Ba regles du jeu eza pour tous / SHERIA YA GEMU YATUHUSU SISI WOTE
L’Assemblée Nationale eza souveraine / MAMLAKA YA BUNGE HUTOKA KWA WANAINCHI
La Constitution est sacrée pour l’intérêt de tous et pour le profit d’un seul / KATIBA YA INCHI SIO YAKUCHEZEWA, NI TAKATIFU KWA MANUFAA YA WOTE, WALA ISITUMIWE KWA MALENGO YA MTU BINAFSI.
CONGO oyé oyé Toboyi Ba Guerre ba Dictature / CONGO OYE OYE , HATUTAKI TENA MAMBO YA VITA, TWATUPILIA MBALI UTAWALA WA KIDEKTA
Tolala nzala kasi en paix / BORA TUWE WENYE NJAA TUKIWA NA AMANI
*** CONGOLAIS AKOMONA MPASI MPO NA MOTEMA NAYE MOKO CONGOLAIS / SHIDA YA MKONGOMANI HUTOKANA NA NYOYO ZAO MBAYA ***
Ba Députés ba Élus du Peuple, Peuple atinda bino na Parlement / NYIE WABUNGE MLIO CHAGULIWA NA WANAICHI ILI MUWAWAKILISHE HUKO BUNGENI
Mpo bo incerner volonté naye / KAZI YENU NIKUITETEA MALALAMIKO NA MATAKWA YA WANAINCHI
Ata jour moko te bokoma corrompus / ISITOKEA SIKU MKAJA KUA WALA RUSHWA
Ata jour moko te bo trahir Peuple / ISIJE IKATOKEA SIKU MKAWASALITI WANAINCHI
Ah Nga nalela CONGO / AH MIE NAILILIA CONGO
Mon Amour CONGO / MPENZI WANGU CONGO
Natongo CONGO / ASBUHI CONGO
Nabutu CONGO / USIKU CONGO
Nazamba CONGO / MSITUNI CONGO
Ata na Voyage CONGO / HATA UKIWA SAFARINI CONGO
Nampasi CONGO / KWENYE SHIDA CONGO
Tout le Temps CONGO / KWA WAKATI WOWOTE ULE CONGO
Na ba prières CONGO / HATA KWENYE MAOMBI CONGO
*** PASI YA CONGO EZALI CONGOLAIS YEMOKO MPO CONGOLAIS ALINGI CONGOLAIS TEE / SHIDA YA MKONGOMANI HUTOKANA NA WACONGOMANI WENYEWE KWAKUA HUA WAHAPENDANI.
Ba Congolais mibale mokolo mosusu bakutani na Nkolo NZAMBE / ILITOKEA SIKU MOJA WA KONGOMANI WAWILI WALI BAHATIKA KUKUTANA NA MWENYEZI MUNGU.
Moko alobi na Nzambe, Nzambe salisa biso / MMOJA KATI YAO KAMWAMBIA MUNGU , HEE BABA MUNGU TUNAOMBA MSAADA KUTOKA KWAKO UTUJAALIE.
Nzambe alobi oyo okosenga nakosepa mais oyeba que na kosala le double nayango  mpo na Moninga bozanaye Nasala nini ? /
MWENYEZI MUNGU KASEMA YOTE HAYO UTAKAYO TOA KAMA HITAJI NTAYATENDA ILA JUA NTAMNUFAISHA MWENZIO MARA MBILI, SASA SEMA UNACHO KIHITAJI NITEKELEZE
Congolais alobi na Nzambe  boma nga liso moko mais ye bomaye miso mibale / MKONGOMANI HUYO KAMWAMBIA MUNGU, NAOMBA UNIVUNJE JICHO MOJA, ILA HUYO MWENZANGU MVUNJE MACHO YOTE MAWILI.
Hmm !!! Congolais Motema mabee / HMM MKONGOMANI  ROHO MBAYA KUPITA KIASI
Ah Nga nalinga CONGO / AH MIMI NAIPENDA CONGO
CONGO ya Bato balinga mosala / CONGO INCHI YA WATU WACHAPA KAZI
CONGO ya Bato mayele / CONGO INCHI YA WATU WAJANJA
CONGO ya Bato ya Bonne sens / CONGO INCHI YA WATU WALIO NA MUELEKEO MZURI

Post a Comment

AddThis

 
Top