0



Baada ya Msemaji wa JB MPIANA  » BLANCHARD MOSAKA  » kuswekwa Jela Kuu la MAKALA JIJINI KINSHASA kwa Mda wa Takriban Wiki 1 nakuachiwa Huru kutokana na Msaada wa JB MPIANA , Jana Usiku Msemaji maarufu wa WERRASON  » SANKARA DE NKUNTA  » Yuko chini ya Ulinzi wa Polisi JIJINI KINSHASA .
Kafunguliwa Mashitaka na KOFFI OLOMIDE, ambae kamtaka aonyeshe KARATASI YA UTEKELEZAJI WA PESA Dola Elfu 60.000 Usd.
kwa Madai ya SANKARA DE NKUNTA mwenyewe , kasema JB MPIANA ndie kampa mamlaka ya kwenda Kudai pesa hizo kwa KOFFI OLOMIDE. Jambo ambalo MOPAO kalikataa kwa nguvu zake zote nakutaka ushahidi wa Madai hayo uwekwe Wazi .

Post a Comment

AddThis

 
Top