0

Ni muendelezo wa series from WWE ambapo Big Boss Mr. McMahon alitinga katika ring ya WWE na kutoa baraka zake kwa team mbili zinazoshindana

Team hizo Mr mcMahon amekuwa haonekani muda mrefu ni baada ya madaraka kumwachia mwanae wa kike Stephanie McMahon na mumuwe Triple H (HHH) aliyekuwa mpiganaji wa zamani ili waweze kuongoza jahazi hili vyema

Mr MCmahon wiki mbili zilizopita alitinga kwa kubariki team hizo mbizli ambazo ni team Cena na Team authority

McMahon amewaambia stephnaie na triple h kuwa team authority haitakiwi kushindwa hata siku moja,wajipange wajipangavyo lakini wahakikihse team yao inashinda 

Team authority ni teama ambayo inaongozwa na Triple H,Stephanie,Cane na Randy Orton ambaye wiki iliyopita alipishana kiswahili na set lowrance ambaye ndiye amebeba mikoba ya money in the bank na wapo nae katika team authority baada ya mapishano hayo ndipo randy orton the viper akawageuzia kibao akampiga set lowrance akampiga na boss wake triple h ambaye kwa kaisi kikubwa anategemewa katika team
 Kwa upande wa Team Cena yupo na Big show amabye ana kisa na McHenry wa TEAM AUTHORITY,Aldoph zigller ana biff na Set lowrance member wa zamani wa kundi la the shield,Rayback ana kisa na boss triple H,Erick lowren member wa zamani Bray white family ana kisa na Luka member mwenzake wa kundi lao la bray white family ambalo limevunjika wiki mbili zilizopita 

Katika majigambo kama unavyojua huu mchezo wenye kutumia nguvu majigambo ni moja kati ya kanuni za mchezo huu John Cena alijitapa mbele ya team pinzani ambapo ndani yake wapo ma boss wake akimwambia boss wake triple H kuwa anapoteza muda kukaa WWE ni bora aende kusafisha vyoo,maneno hayo yalimpa hasira sana stephanie McMahon ambaye ni boss na mke wa triple h ndipo alipoamua kumzaba kibao John Cena

Wakati hilo likitoke john Cena kavua shati na kutaka kupigana na team yote na yeye akiwa peke yake

Wakaanza kumcheka na kumwambia kuwa tutakuua wewe sisi tupo wengi ghafla ile team ya John Cena ikaanza kuingia mmoja baada ya mwingine ambao ni Big Show,Adolph Ziggler,Erick lowren na Ray Back

Baada ya majigambo na team yote kukamilika sasa ngumi za kustukiza zikaanza ndipo kila mmoja akawa na wake na hatimae triple H akawa na maadaui wengi toka team Cena akiwemo Cena mwenyewe

Wakati CENA akimsuluibisha set lowrance kabla hajakamilisha hilo triple h akafika na kumpa kitu cena ndipo rayback akatokea nyuma ya triple ya triple ha na cena akapata nguvu ya kusimama na wakati rayback anajiandaa kumpa kitu boss triple h john cena akafanya maamuzi ya haraka kama yupo vitani akamgusa bega triple h na kumnyanyua juu na kisha kumtupa juu ya meza ikavunjika na ushindi kwa team ya CENA ukapatikana kwa style hiyo

Lakini hiyo ilikuwa ni rabsha rabsha tu mechi kamili inakuja hivikaribuni...ENDELEA KUSOMA NA KU LIKE PAGE YETU

Post a Comment

AddThis

 
Top