0

UTIZAME TANGAZO LA KOFFI ” EBOLA ” ETI KAWAZIBA MIDOMO WOTE WALIOKUA WAKICHUKULIA JINA HILO KAMA ” TUSI ” .

Katika mahojiano yake na Mtangazaji MAMI ILELA, KOFFI OLOMIDE kasema kwanza analipenda saana jina la ” VIEUX EBOLA ” MZEE EBOLA, JINA LENYE NGUVU LAPELEKEA WATU WAMKIMBIE NAKUMUOGOPA .

Kamtaka yeyote yule ambae kajihisi anayo matatizo naye, basi ajitokeze na azungumzie nini kiini cha ugonvi wao, Mwenyewe kashangaa kuona watu Wanamsakama, Kapokea Msg nyingi sana zikitokea Pande zote za Dunia wakimtaka Ugonvi kati yake na JB MPIANA uishe!!! Kwake yeye kaona Wengi wamionea Wivu. Kwenye Video Nyingine, KOFFI OLOMIDE kasema : ” LAITI ASINGEKUA YEYE NI KOFFI OLOMIDE, BASI NAYE ANGEMCHUKIA KOFFI OLOMIDE, KWAKUA JAMAA YUKO JUU SAAANA…

Post a Comment

AddThis

 
Top