WERRASON YUKO KWENYE HARAKATI YA KUFUNGUA KAMPUNI YA UUZAJI NA UNUNUZI WA MADINI
KATIKA MPANGILIO WAKUJISTIRI KWENYE MAISHA YAKE PAMOJA NA FAMILIA HUKO MBELENI,
MSANII MAARUFU WA MUZIKI INCHINI CONGO WERRASON NGIAMA MAKANDA,YUKO KWENYE HARAKATI YA KUFUNGUA KAMPUNI KUBWA YA UUZAJI NA UNUNUZI WA MADINI.
KAMPUNI HIYO IJULIKANAYO KWA JINA LA ” EXAUGLA “, YAANI MCHANGANYIKO WAMAJINA ZA MABINTIE (EXAUCÉE na GLADY ).
KUPITIA KAMPUNI HIYO, MADINI MNAYO YAHITAJI MFANO KAMAVILE (Dhahabu, Almasi, Shaba na Colbats… ) YANAPATIKANA.
TUNAMTAKIA KILA LA KHERI LE ROI DE LA FORET.
Post a Comment