VIDEO:DJ KHALED, CHRISS BROWN,FUTURE,JEREMY, AUGUST ALSINA WOTE NDANI YA VIDEO MOJA…icheki hapa.
Siku moja tu baada ya kutoa audio ya Hold u down, Dj Khaleed ametoa video ya wimbo huo ambayo ndani yake yupo na wasanii wote aliowashirikisha kama Chris Brown,Future,Jeremih na August Alsina.
Video imetoka August 11, 2014 na hii ni nafasi yako kuicheki.
Post a Comment