0
Maajabu:Kiungo wa Wolfsburg, Junior Malanda alikosa bao la wazi  dhidi ya  Bayern Munich jana usiku.

NYOTA wa Wolfsburg, Junior Malanda ameingia kwenye rekodi ya kukosa bao la wazi zaidi na kusababisha timu yake kufungwa.
Wakikabiliana na mabingwa watetezi, Bayern Munich katika mchezo wa ufunguzi wa Bundesliga, kiungo huyo wa ulinzi mwenye miaka 19 alishindwa kumfunga Manuel Neuer baada ya kufanikiwa kumuacha na kubaki yeye na goli, lakini alichofanya ni ajabu.Tazama picha. 
Rahisi tu!: Malanda alikuwa kwenye karibu na mstari wa goli na kutakiwa kusawazisha kiulaini, lakini alikosa

Alikosaje? Kiungo wa Wolfsburg alikosa  bao akiwa yeye na kipa

Majanga:  Malanda haamini kilichotokea 

Mikono kichwani: Malanda akijilaumu baada ya kukosa goli la wazi. 

Post a Comment

AddThis

 
Top