Uchunguzi mdogo tu nimegundua kuwa wasanii wengi wa music Tanzania ni wafupi, sijui kwanini? Au kuna uhusiano wowote ule kati ya ufupi na kipaji? Au ndio ile theory ya kwamba watu wafupi wanapenda sana kujionyesha kwakuwa wanahisi wanadharaulika?
Wafuatao ni baadhi tu kati ya wale wengi:
1. Barnaba Boy
2. Stamina
3. Linnah
4. Sheta
5. Rich Mavoko
6. Nikki wa Pili
7. Mirror
8. Bob Junior
9. Dully Sykes
10. Mr Blue
11. Young Dee
12. Vanesa Mdee
Post a Comment