0

Octopizzo ni miongoni mwa wasanii wa hiphop wanaofanya vizuri sana nchini Kenya na Africa Mashariki kwa ujumla.Kazi kama Njo ft Tracy na Blackstar ni kazi zilizomweka juu zaidi kimataifa.

Hivi karibuni ameimba kwenye wimbo wa kombe la dunia wa Coca-Cola akiwa na wsanii wengine wa Africa. Wibo uliitwa “The World Is Ours”. Hapa Octopizzo amemshirikisha msanii kutoka Nigeria Rapper M.I Abaga na wimbo unaitwa “Salute Me”

Post a Comment

AddThis

 
Top