TAZAMA VIDEO MARADONA AKIMCHAPA KIBAO MWANDISHI WA HABARI.
Gwiji la soka ulimwenguni Diego Maradona ameibuka na skendo nyingine nchini Argentina baada ya kumzaba kibao mwandishi mmoja wa habari ambaye inasemekana alimsemea maneneo machafu mke wa zamani wa gwiji huyo.
Kitrndo hicho kilimuhudhi Maradona ambaye alikuwa safarini pamoja na mtoto wake.
Post a Comment