Waandishi wa Habari kutoka vyombo tofauti wakimsikiliza Bregedia Jenerali Sharif Sheikh Othman (hayupo pichani) katika Mkutano wake na wandishi leo.
Mkurugenzi wa ufundi wa mashindano hayo upande (JWTZ) Luteni Kanali Joseph Bakari akitoa ufafanuzi wa Michezo hiyo
Mmoja wa uwanja utakaotumika katika mashinda hayo, uliopo Bregedi ya Nyuki Migombani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar






Post a Comment