methibitishwa mshambuliaji Robin van Persie ndiye mchezaji maarufu zaidi kwenye ligi kuu ya England,hii ni kutokana na jezi yake kuuzwa sana msimu uliopita.
Utafiti uliofanywa unaonyesha Van Persie ameibuka kidedea mbele ya wakali wa Liverpool Steven Gerrard pamoja na mshambuliaji aliyehamia klabu ya Real Madrid ya Hispania Luis Suarez.
Home
»
» Unlabelled
» ROBIN VAN PARISE,STEVEN GERALD NA ;OUIS SUAREZ NI MAJINA YALIYOONGOZA MSIMU ULIYOPITA KIMAUZO YA JEZI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





Post a Comment