Benchi la ufundi la Tanzania 11
Luis Figo akisalimiana na wachezaji wa Tanzania
Peter Manyika akisalimiana na Luis Figo
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Real Madrid Legends
figo akiruka juu kupiga mpira wa kichwa
Mohamed Mwameja akiwa ameshika kiuno baada ya kufungwa goli la kwanza.
Kiungo wa timu ya Real Madrid Legends, Christian Karembeu akichukua picha ya kumbukumbu na Rais Jakaya Kikwete.
Mfunga wa mabao ya timu ya Real Madrid, Reuben akipokea mpira baada ya kupiga ‘hat trick’ katika mchezo huo.
Beki wa timu ya Tanzania 11, Shadrack Nsajigwa akichuana na mshambuliaji wa Real Madriad Legends, Luis Figo wakati wa mchezo wa Kimatifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Mshambuliaji wa timu ya Real Madriad Legends, Luis Figo akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Tanzania 11 wakati wa mchezo wa Kimatifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Mshambuliaji wa timu ya Real Madriad Legends, Luis Figo akimiliki mpira mbele ya beki wa Tanzania 11, Shadrack Nsajigwa wakati wa mchezo wa Kimatifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Mfunga wa mabao ya timu ya Real Madrid, Reuben akipokea mpira baada ya kupiga ‘hat trick’ katika mchezo huo. - See more at: http://shaffihdauda.com/?p=5550#sthash.hgQEeD6d.dpuf
Luis Figo (kushoto), akiruka juu kupiga mpira wa kichwa. - See more at: http://shaffihdauda.com/?p=5550#sthash.hgQEeD6d.dpuf
Peter Manyika akisalimiana na Luis Figo.











Post a Comment