Maoni yangu: Kwa Jose Mourinho ili aendelee kuwa kocha wa Chelsea kwa msimu ujao na kuendelea basi anahitaji kushinda aidha ubingwa wa ulaya au Premier League ili kibarua chake kisiote nyasi. Msimu uliopita alimaliza nafasi ya 3, Roman Abramovich akampa fedha na sasa amenunua wachezaji anaowataka, Felipe Luis, Diego Costa, Cesc Cesc Fàbregas, na amemrudisha Didier Drogba kwenye payroll – sasa endapo Mourinho atashindwa kuwapokonya ubingwa Man City au Real Madrid (ulaya) billionea wa kirusi bila shaka atamuondoa darajani kwa mara ya pili.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment