Miko Bella
Yaani ukistaajabu ya mussa ya firauni yapo jirani Hiyo imekuja baada ya mashabiki wa wa malaika music band pale walipoacha kufurahia burudani na kuanza kuingilia kazi ya uumbaji ya MUNGU bila aibu wala uwoga kwa madai kuwa eti Christian Bella sio handsome boy kama kaka yake Miko Bella ambaye nay eye ni mwanamuziki wa malaika eti kwa kifupi Chritian Bella ni mbayaaa ila kaka yake ndiyo bonge la handsome boy yaani mzuri balaa
Kauli hizo zimekutokea kwenye mitandao ya kijamii ambapo dunia inakutana kama kijiji yaani facebook,instagram,twitwer na kwenye open bar ambapo kulikuwa na big screen
christian bella
SASA NAKUPA UTAMU WENYEWE
Kwenye Big screen hapo kwenye open Bra (jina kapun)kulikuwa kunachezwa wimbo wa malaika Music band NAKUHITAJI ambapo humo ndani kina kiongozi ya masauti,Jackie chan,petii mauzo,chesco,miko bella na Mr,prezdaa mwenyewe chritian bella walikuwa wakifanya yao ..yaani ni bonge la wimbo balaa
Sasa kukawa kama kimya kiana baadae wimbo ukaombwa urudiwe tena kutokana na utamu wenyewe kwa kutekeleza matakwa ya wateja wimbo ukawekwa repeat ili wateja waridhike wakichoka basi meneja ataenda mkuondoa repet ili nyimbo zingine ziendelee kuonekena
Ghafla zikaanza sauti za chini kwa chini huyo ni kaka yake na chritian bella yupi uyo hapo embu rudsha jamaa anajitahidi sana ,baada ya hilo neno anajitahidi sana kila mtu akataka kumuona huyo kaka yake na chritian bella ambaye wanasema anajitahidi sana
Mara mmoja akaropoka alafu jamaa hata hana maringo mwingine akadakia uliona wapi ma handsome boy wakaringa?
Swali likaja huyo mnaosema kaka yake na christiian bella ndio handsome zikajibu sauti nyingi NDIYOO wakati hoja ilitolopokwa na mtu mmoja tu
Hee mara waliyokuwa wanamuona tu kwenye wimbo hawajui kama ndiye kaka yake chritian Bella wakaanza kusema ila jamaa ni handsome alafu kafanan na bushoke sana Yule wa mwanzo sasa akasema si niliwaambia ma handsome boy huwa hawaringi mmeona au mmekubali wakajibu EE BWANA NDIYOO wengine KWELIII
Haikuishia hapo wakawekeana dau la kiasi cha pesa wanaosema Christian bella handsome boy watoe hela fasta elfu kumi kumi zikachangishwa na meneja
Hela za pande zote mbili zikawekwa peupe na meneja akawa anahesabu kura akiwa kasimama
Wanaosema Miko bella handsome wantooshe vidole ghafla mikono mingi ikawa hewani ikiashiria kuwa Miko Bella ni handsome zaidi ya mdogo wake
Hela iliyokuwa imewekwa pale wa upande wa Miko bella wakachukua hela yao na wale wa upande wa chritian bella hela yao iaknunuliwa vinywaji watu wakaendelea kupombekaa mbaya
Na meneja akashauriwa aweke repeat tena na aongeze sauti ili MIKO BELLA aweze kutazamwa na mashabiki wake
Miko na chritian ni ndugu na miko ni mkubwa na chritian ni mdogona wote wapo band moja wakendeleza kutoa burudani za kiburudani
Ni maoni ya mashabiki ....Big up kwenu ndugu ambao mmeiteka tanzania kiburudani OZA LIKOLOOOOOOOO
Mtazame miko bella katika dakika ya tatu Akianza kwa kusema maumivu yangu nipelekee naniiiiii
KANYAGA UTELEZE WEE ….VUALA…
Post a Comment