DUDU BAYA:AONGEA KUHUSU WASANII WANAOTEMBEA NA BODYGUARDS,ALI KIBA NA DIAMOND WASIJIONE WAMEFIKA,KULOGANA,UCHAWI NA MENGINE,
Dudubaya ni miongoni mwa Wasanii wa longtime kwenye ukoo wa bongofleva ambapo pamoja na yote anayoyafanya, anakiri kwamba amekua akifatilia sana muziki huu na Wasanii wenyewe huko mtaani ndio maana hasiti kutoa maoni yake kuhusu mienendo ya baadhi ya Wasanii kwa sasa.
Kwenye Exclusive hiyo iliyofanyika Dar es salaam Dudubaya ametoa ya moyoni kuhusu ishu za uchawi kwenye bongofleva, anachokisikia kuhusu Ali Kiba na Diamond, Wasanii wa bongofleva kutembea na Bodyguard pamoja na mengine ambayo unaweza kuyapata kwa kumtazama hapa chini.
Post a Comment