Malengo yao ni kupata milioni hamsini ili kuweza kuwasaidia kundi hili la walemavu ambapo kama unaonakatik apicha wa kwanza kushoto ni bwana Abdul mahindukila yeye ni mlemavu wa miguu lakini ana uwezo wa kufanya shuhuli zingine kwa mujibu wa taratibi za viungo vyake
Kilele cha hii shuhuli ni tareje 3-12-2013 ambayo ni siku ya walemavu duniani
Unaweza ukawachangia kwa kutumia namba zifuatazo
0768-393751,0714-300114 na 0783421563 kutoa ni moyo wala si utajiri
Bwana Abdul Mahindukila amabye ni mlemavu wa miguu kama unavyomuoana akitoka katika studio za mwngaza fm Dodoma kwa ajili ya kuongea na watanzania kuhusu DODOMA WALEMAVU SACCOS
Post a Comment