Volcano yenye ukubwa wa Ubelgiji (Belgium) imegunduliwa kwa mara ya kwanza, na jopo la wanasayansi chini ya bahari ya Pacific. wanasayansi hao, wamegundua kuwa mwamba huo mkubwa ulitokana na mlipuko wa lava, na kuifanya volcano hiyo mpya kuwa sio tu ni kubwa duniani, bali ni kubwa katika solar system-kubwa kuliko Olympus Mons (iliyoko mars.)
Home
»
» Unlabelled
» Volcano kubwa duniani yagunduliwa chini ya bahari, ina ukubwa wa saiz ya Ubelgiji (Belgium)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment