WERRASON MFALME WA WANYAMA KAWA BINGWA WA MUZIKI WA AFRICA
WERRASON KAPOKEA TUZO MBILI MUHIMU SANA USIKU WA KUAMKIA LEO INCHINI AMERICA ( MSANII BORA WA AFRICA, NA GENERIC TECHNO MALEWA IMEPEWA TUZO LA GENERIC BORA )
Bofya kwenye kichwa cha Habari kwa maelezo zaidi, pia upate kutizama picha mbalimbali za WERRASON
MDA MCHACHE ULIOPITA , TUMEPOKEA MATOKEO YA MSIMU WA INNE WA TUZO LA NAFCA AMBAO MWAKA HUU SHEREHE IMEFANYIKA INCHINI AMERICA JIJINI (Beverly Hills California).
Oscars African NAFCA ni tuzo iliyoundwa kwa ukamilifu kwa madhumuni ya kukuza Sinema, Muziki, na Utamaduni wa bara la Afrika.
WERRASON NGIAMA MAKANDA ambae katika List yakumjua Nani Msanii wa Mwaka, kashindania Tuzo hilo na Wasanii wenye majina ntawataja : ” Davido, Flavour, Tiwa Savage na Top-One Frisson “
HONGERA ZETU ZADHATI KWAKO NGIAMA MAKANDA LE ROI DE LA FORET WERRASON


Post a Comment